Nenda kwa yaliyomo

Konyagi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chupa ya Konyagi.

Konyagi ni kinywaji kikali cha kileo kinachotengenezwa nchini Tanzania. Inapatikana kwa kiwango cha alikoholi cha asilimia 35[1].

Jina lake limetokana neno la Kifaransa "cognac" lakini, tofauti na hiyo, konyagi hutengenezwa kwa molasi ya miwa inayopatikana wakati wa kutengeneza sukari. Kwa hiyo ina msingi sawa na kileo cha rum ya visiwa vya Karibi lakini ladha si vile.

  1. "Konyagi". Spirits Review (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Konyagi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.