Kivõro
Mandhari
Kivõro ni lugha ya Kifini-Kiugori nchini Estonia inayozungumzwa na Wavõro. Isichangywe na lugha ya Kivoro nchini Nigeria. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kivõro imehesabiwa kuwa watu 87,000.
Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivõro iko katika kundi la Kifini. Wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kiestonia.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kivõro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |