Kituokazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kituokazi kinachoitwa Sun SPARCstation 10 kwenye CRT monitor, mwaka 1990.

Katika utarakilishi, kituokazi (kwa Kiingereza: workstation) ni tarakilishi inatumika ili kufanya programu ya matumizi ya kifundi au ya kisayansi

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)