Nenda kwa yaliyomo

Kituo cha Mabasi cha Mbezi Luis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kituo cha Mabasi cha Mbezi Luis ni kituo cha mabasi madogo alimaarufu daladala kilichopo eneo la Mbezi Luis. Kituo hicho pia hujulikana kama kituo cha daladala cha Mbezi Mwisho. [1]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-05-24. Iliwekwa mnamo 2025-10-03.