Kisugudi
Mandhari
Kisugudi (pia: kiwiko; kwa Kiingereza: "elbow") ni kifundo cha mkono kinachounganisha mkono wa juu na kigasha.
Sehemu za Mkono wa binadamu | ||
---|---|---|
Bega * Mkono wa juu * Kisugudi * Kigasha * Kiganja * Kidole gumba * Kidole cha shahada * Kidole cha kati * Kidole cha pete * Kidole cha mwisho |
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisugudi kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |