Nenda kwa yaliyomo

Kisobadilika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihisabati, kisobadilika ni namba ambayo thamani yake haibadiliki.[1] Namba kama 1, 2, 3, n.k. ni visobadilika, lakini vinaweza kuchukua thamani zisizofahamika. Kwa mfano, fikiria mlinganyo wa husisho mstari:

Hapa, x ni kigeugeu, namba ambayo thamani yake siyo thabiti. Namba a na b ni visobadilika; thamani zake ndizo thabiti hata zisipofahamika. Kisobadilika chenye thamani isiyofahamika mara nyingi huitwa kizigeu.

  1. Kamusi ya Kiingereza-Kiswahili (PDF). TUKI.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisobadilika kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.