Kigeugeu (hisabati)
Mandhari
Katika hisabati, kigeugeu ni namba ambayo thamani yake inageuka katika husisho.[1] Kwa mfano, fikiria husisho hili:
Namba ni kigeugeu cha husisho . Namba na ni visobadilika; thamani zake hazijafahamika lakini hazibadiliki katika husisho.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigeugeu (hisabati) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kamusi Sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia. TUKI. 1990. ISBN 9976 911 09 2.