Kisiwa cha Mpunguti ya Juu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Mpunguti ya Juu ni kati ya visiwa vya kaunti ya Kwale, kusini mwa Kenya.

Kinapatikana katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]