Kiseri
Mandhari
Kiseri ni lahaja ya Kirombo, lugha yenye asili ya Kibantu.
Inazungumzwa na baadhi ya Warombo wanaoishi hasa Kaskazini mwa Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro.
Inasemekana ni asili ya lahaja nyingine za lugha hiyo.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiseri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |