Kirombo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kirombo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wachagga, yaani ni lugha moja katika mnyororo wa lugha za Kichagga. Idadi ya wasemaji wa Kirombo imehesabiwa kuwa watu 1,500,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kirombo iko katika kundi la E60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirombo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.