Kisasisho (SQL)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Katika lugha ya programu SQL, kisasisho (kutoka kitenzi cha Kibantu kusasisha ambazo mzizi wake ni kielezi sasa; kwa Kiingereza: update) ni kauli inayobadilisha data za hifadhidata.

Mfano wa kisasisho katika SQL[hariri | hariri chanzo]

Kuweka thamani ya nguzo C1 katika hifadhidata T kwa 1, wakati tu katika safu ambapo thamani ya safu C2 ni "a".

UPDATE T
   SET C1 = 1
 WHERE C2 = 'a'

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)