Kirote

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirote ni jina la lugha mbalimbali za Indonesia kwenye kisiwa cha Rote, kama vile Kibilba, Kidela-Oenale, Kidengka, Kilole, Kirikou, Kitermanu na Kitii.