Kirikou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kirikou (pia Kiringgou au Kirote) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Warikou kwenye kisiwa cha Rote. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kirikou imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirikou iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirikou kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.