Kibilba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibilba (pia Kirote) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabilba kwenye visiwa vya Rote, Semau na Timor. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibilba imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibilba iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibilba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.