Kitermanu
Mandhari
Kitermanu (pia Kirote) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watermanu kwenye kisiwa cha Rote. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitermanu imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitermanu iko katika kundi la Kitimor-Babar.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitermanu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitermanu
- lugha ya Kitermanu katika Glottolog
- lugha ya Kitermanu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitermanu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |