Nenda kwa yaliyomo

Kiptarus Arap Kirior

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiptarus Arap Kirior (alifariki 3 Desemba 2020) alikuwa mwanasiasa wa Kenya ambaye aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Belgut 1983 na 1988 [1] na 1992-1997.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kenya Gazette (kwa Kiingereza). 1989-02-24.
  2. Kenya National Assembly Official Record (Hansard) (kwa Kiingereza). 1994-06-23.