Kipanya donge
Katika utarakilishi, kipanya donge (kwa Kiingereza: Trackball) ni kifaa kielekezi kama kipanya kinachotumika ili kuingiliana kwa kiwambo cha tarakilishi.
Kipanya donge kinapata jina kutokana na donge ndani ya soketi na vihisio vya pahali.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).