Kinyozi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kinyozi huko Batavia.

Kinyozi ni mtu ambaye amejifunza na kubobea katika unyoaji wa nywele za watu kwa mitindo mbalimbali.

Kinyozi huyo hunyoa watu wa jinsia tofauti kulingana na malengo yao binafsi.

Kinyozi anaweza kuwa mwanamke au mwanamume.

Kinyozi hutumia vifaa mbalimbali kwa ajili ya kunyolea, kwa mfano wembe, mkasi na mashine za kunyolea.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyozi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.