Wembe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyembe za Kiafrika.

Wembe (wingi: nyembe) ni kifaa kidogo, kwa kawaida cha chuma, chenye bapa kali.

Wembe hutumiwa, kwa mfano, kwa ajili ya kunyoa nywele au kukata karatasi nyepesi.