Kinyegere
Mandhari
Kinyegere | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kinyegere Milia (Mephitis mephitis)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Kinyegere na Nyegere-vunde (jina la kisayansi: Mephitidae) ni mnyama mdogo mweusi na mweupe wa Amerika na Indonesia.
Familia
[hariri | hariri chanzo]- Familia Mephitidae
- Jenasi: Conepatus
- Kinyegere wa Amerika ya Kusini, Conepatus chinga (Molina's Hog-nosed Skunk)
- Kinyegere wa Patagonia, Conepatus humboldtii (Humboldt's Hog-nosed Skunk)
- Kinyegere wa Amerika, Conepatus leuconotus (American Hog-nosed Skunk)
- Kinyegere Milia-miwili, Conepatus semistriatus (Striped Hog-nosed Skunk)
- Jenasi: Mephitis
- Kinyegere-kifuniko, Mephitis macroura (Hooded Skunk)
- Kinyegere Milia, Mephitis mephitis (Striped Skunk)
- Jenasi: Mydaus
- Nyegere-vunde wa Java, Mydaus javanensis (Javan Stink Badger)
- Nyegere-vunde wa Palawan, Mydaus marchei (Palawan Stink Badger)
- Jenasi: Spilogale
- Kinyegere-madoa Kusi, Spilogale angustifrons (Southern Spotted Skunk)
- Kinyegere-madoa wa Magharibi, Spilogale gracilis (Western Spotted Skunk)
- Kinyegere-madoa wa Mashariki, Spilogale putorius (Eastern Spotted Skunk)
- Kinyegere-madoa Mdogo, Spilogale pygmaea (Pygmy Spotted Skunk)
- Jenasi: Conepatus
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyegere kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |