Kingsley Coman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kingsley Coman

Kingsley Coman (alizaliwa 13 Juni 1996) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji au winga wa klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ufaransa.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingsley Coman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.