Kingbaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingbaka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangbaka. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kingbaka imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni moja. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na 3650 nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingbaka iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingbaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.