Kinakara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinakara (au Kinakkara) ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wanakara katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kinakara ilihesabiwa kuwa watu hamsini tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinakara kiko katika kundi la Kiburarran pamoja na Kiburarra, Kidjeebbana na Kiguragone.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinakara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.