Kiguragone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiguragone ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Waguragone katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2011, idadi ya wasemaji wa Kiguragone ilihesabiwa kuwa watu sitini tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiguragone kiko katika kundi la Kiburarran pamoja na Kiburarra, Kidjeebbana na Kinakara.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiguragone kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.