Nenda kwa yaliyomo

Kidjeebbana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidjeebbana ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wagunavidji katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kidjeebbana ilihesabiwa kuwa watu 240. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjeebbana kiko katika kundi la Kiburarran pamoja na Kiburarra, Kiguragone na Kinakara.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidjeebbana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.