Kiburarra
Mandhari
Kiburarra ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Waburarra katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiburarra ilihesabiwa kuwa watu 1070. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiburarra kiko katika kundi la Kiburarran pamoja na Kidjeebbana, Kiguragone na Kinakara.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiburarra kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiburarra Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiburarra katika Glottolog
- lugha ya Kiburarra katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiburarra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |