Nenda kwa yaliyomo

Kimbunga Irma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kimbunga Irma

Kimbunga Irma ni kimbunga kikali mno kilichotokea juu ya Bahari ya Atlantiki mwezi Septemba 2017. Kinadaiwa kuwa ndicho kimbunga kikali zaidi kuwahi kutokea katika eneo la Bahari ya Atlantiki kwa miongo kadhaa iliyopita.

Kimbunga Irma kinatajwa kuwa ndicho kimbunga kikali zaidi kwa mgandamizo (na si mwendokasi wa upepo) kuwahi kutokea nchini Marekani tangu kilipotokea kimbunga Katrina mnamo mwaka 2015, tena kimbunga Irma kinatajwa kuwa ndicho kimbunga kikali zaidi kuwahi kulikumba jimbo la Florida tangu kimbunga Wilma kilichotokea mnamo mwaka 2015.

Kimbunga Irma kilisababisha madhara na uharibifu mkubwa sana wa mali nchini Marekani hasa upande wa kaskazini-mashariki mwa nchi hiyo (Karibi). [1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Brian McNoldy. "Tropical Storm Irma forms in Atlantic, and we’re still watching Gulf of Mexico early next week", The Washington Post, August 30, 2017. (en-US) 
  2. "Hurricane Irma intensifies over the Atlantic". CNBC. Reuters. Septemba 1, 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-06. Iliwekwa mnamo Septemba 6, 2017. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Marina Koren. "Hurricane Irma Just Hit Category 3", The Atlantic, August 31, 2017. (en-US)