Nenda kwa yaliyomo

Kimberly Arcand

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kimberly akielezea "Jinsi ya kushikilia nyota iliyokufa mikononi mwako"
Kimberly akielezea "Jinsi ya kushikilia nyota iliyokufa mikononi mwako"
Kimberly Kowal Arcand ni mwanasayansi na mkusanyaji data wa NASA [1]. Pia ndiye mratibu wa  Mathematical beauty katika mradi wa majibu ya picha ya astronomia katika kituo cha Smithsonian huko Harvard kilichoko Cambridge Massachusetts.
  1. "Chandra X-ray Observatory". doi:10.1036/1097-8542.801990. hdl:2060/20010020257. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimberly Arcand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.