Kimbandja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbandja ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wambandja. Idadi ya wasemaji wa Kimbandja nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 352,000. Pia kuna wasemaji 10,460 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na 9060 nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbandja iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbandja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.