Kimankanya
Mandhari
Kimankanya ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea-Bisau, Senegal na Gambia inayozungumzwa na Wamankanya. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimankanya imehesabiwa kuwa watu 44,200 nchini Guinea-Bisau, na 29,200 nchini Senegal. Pia kuna awsemaji wachache nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimankanya iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimankanya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimankanya Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimankanya katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/knf
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimankanya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |