Kilowati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilowati (kW) ni kizio cha nguvu kinacholingana na wati elfu moja (wati 103).

Kizio hiki hutumiwa kutaja nguvu ya injini ya umeme au vifaa kama jiko la umeme. Hutumiwa pia kutaja uwezo wa transimita ya redio au televisheni.

Eneo la uso wa ardhi wa mita ya mraba iliyo karibu na ikweta ? moja hupokea takriban kilowati moja kutoka nuru ya jua.

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilowati kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.