Kilaka (Chad)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilaka ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Walaka. Isichanganywe na lugha ya Kilaka inayozungumzwa nchini Nigeria. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kilaka nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 55,100. Pia kuna wasemaji 2050 nchini Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaka iko katika kundi la Kibongo-Nagirmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilaka (Chad) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.