Kijola-Fonyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijola-Fonyi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal, Gambia na Guinea-Bisau inayozungumzwa na Wajola. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kijola-Fonyi nchini Senegal imehesabiwa kuwa watu 340,000. Pia kuna wasemaji 67,000 nchini Gambia na 6490 nchini Guinea-Bisau. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijola-Fonyi iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijola-Fonyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.