Nenda kwa yaliyomo

Kigbaya-Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kigbaya)

Kigbaya-Kaskazini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Kamerun inayozungumzwa na Wagbaya. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kigbaya-Kaskazini nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 200,000; na mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 72,500. Pia kuna wasemaji wachache nchini Jamhuri ya Kongo na Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbaya-Kaskazini iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigbaya-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.