Kigawa sehemu

Kigawa sehemu katika kitabu kimoja.
Katika uchapaji, kigawa sehemu (kwa Kiingereza: section break) ni sehemu ya sura.
Katika utarakilishi, kigawa sehemu kinafanywa kwa programu ya kichakata matini.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).