Kidogon-Jamsay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kijamsay ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wadogon. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kijamsay nchini Mali imehesabiwa kuwa watu 130,000. Pia kuna wasemaji nchini Burkina Faso ambao idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijamsay iko katika kundi la Kidogon.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidogon-Jamsay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.