Kidadi-Dadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidadi-Dadi ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadadi-Dadi mpakani katikati ya majimbo ya Victoria na New South Wales. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kidadi-Dadi kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidadi-Dadi kiko katika kundi la Kimurray cha Chini. Wengine hukiangalia kama lahaja ya Kiyitha-Yitha.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidadi-Dadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.