Kiyitha-Yitha
Mandhari
Kiyitha-Yitha kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayitha-Yitha katika majimbo ya New South Wales na Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyitha-Yitha, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyitha-Yitha kiko katika kundi la Lower Murray.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiyitha-Yitha kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyitha-Yitha
- lugha ya Kiyitha-Yitha katika Glottolog
- lugha ya Kiyitha-Yitha katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyitha-Yitha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |