Kichunguzi jalada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kichunguzi jalada cha Linux.

Katika utarakilishi, kichunguzi jalada (kwa Kiingereza: File Explorer au File manager) ni programu inayotumika ili kutafuta jalada au kabrasha katika tarakilishi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).