Kabrasha

Dirisha la Windows linaloonyesha kabrasha moja.
Katika tarakilishi, kabrasha (kwa Kiingereza : "directory") ni mfumojalada linaloshikilia majalada au makabrasha nyingine.
Tunatumia maneno mzazi na mtoto kutaja uhusiano kati ya kabrasha na kabrasha nyingine ndani ya kabrasha hilo.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.