Mfumojalada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa mifumojalada mitano.

Katika utarakilishi, mfumojalada (kwa Kiingereza: filesystem) unadhibiti vilevile majalada ambayo yanatunzwa na yanapatwa katika tarakilishi. Kwa mfano, makabrasha ndani ya tarakilishi ni mfumojalada.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.