Kibonyezo kirejeshi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kibonyezo cha kirejeshi.

Kibonyezo kirejeshi (pia: nafasi nyuma; kwa Kiingereza: back space key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili ifutwe herufi moja katika skrini ya tarakilishi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.