Kibonyezo cha kuhama
Katika utarakilishi, bonye hama (kwa Kiingereza: shift key) ni kitufe cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili kubadili herufi ndogo kuwa kubwa.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.