Kibonyezo cha kirejeshi
Kibonyezo cha kirejeshi au kibonyezo kirejeshi (kwa Kiingereza: back space key, pia nafasi nyuma) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili ifutwe herufi moja katika skrini ya tarakilishi.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.