Kibonyezo cha herufi kubwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kibonyezo cha herufi kubwa.

Kibonyezo cha herufi kubwa au kibonyezo ukubwa (kwa Kiingereza: caps lock key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili kubadili herufi ndogo kuwa herufi kubwa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.