Kibonye mkato
Katika utarakilishi, kibonye mkato (kwa Kiingereza: keyboard shortcut au shortcut key) ni kibonyezo ambacho kinaamrisha programu ya tarakilishi kufanya kitendo ambacho kimepangwa katika mfumo wa uendeshaji au programu yenyewe.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).