Kibobo-Madare-Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibobo-Madare-Kaskazini (au Kikonabere) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Mali inayozungumzwa na Wabobo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kibobo-Madare-Kaskazini nchini Burkina Faso imehesabiwa kuwa watu 35,000. Pia kuna wasemaji 25,000 nchini Mali. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibobo-Madare-Kaskazini iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibobo-Madare-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.