Kiawabakal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiawabakal ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waawabakal katika jimbo la New South Wales. Tangu karne ya 19, hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiawabakal ilitoweka muda mrefu. Hata hivyo kuna bidii ya kuihuisha angalao tangu mwaka 2007. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiawabakal kiko katika kundi la Kiworimi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiawabakal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.