Kiambishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiambishi ni kipande cha neno chenye maana ya kisarufi ambacho kinapachikwa kwa mfano kabla au baada ya mzizi wa neno katika vitenzi na kuwakilisha dhana fulani. [1]

Miongoni mwa viambishi vya Kiswahili mna NI, NDI, KI, KA na kadhalika.

Kiambishi kikitangulia mzizi au kiini cha neno kinaitwa kiambishi awali, kikifuata kinaitwa kiambishi tamati.

Tazama pia

Marejeo

  1. * Masuko Christopher Saluhaya, 2013. ISBN 978 9987 9581 1 5.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiambishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.