Kiambishi awali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiambishi awali ni neno au maneno yanayokaa kabla ya mzizi wa neno,mfano neno ,wanavyolimiwa,neno hili hili mzizi mzizi wake ni L, na shina hapo ni Lima,maneno yanayoonesha viambaishi awali "vinavyofanyakazi" kama ifuatavyo:

  • A=inaonesha kiambaishi awali nafsi ya pili umoja kiwakilishi cha ngeli ya YU-AWA
  • NA=inaonseha kiambishi awali njeo wakati uliopo
  • VYO=Inaonesha kiambishi awali ureshi wa mtenda
  • L=Mzizi wa neno
  • Lima=SHina la neno
  • LIMIWA=NI shina mnyumbuliko

Kahiyo hiyo ndio dhana ya kutambua viambaishi awali katika tungo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Lango la Lugha

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiambishi awali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.